Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Makamo wa Pili wa Rais
Zanzibar Balozi Seif Idd mara baada ya kumaliza kikao cha halmashauri
kuu ya wilaya ya Dimani.
Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi
ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar leo wakati wa ziara ya
kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata
Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi ili
zipatiwe ufumbuzi. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Msafara
wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukielekea katika jimbo la Fuoni
kushiriki upandaji wa mikoko katika hifadhi ya Baahari,kaa na ufugaji
nyuki katika eneo la Fuoni Bondeni.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Dimani mkoa wa
Magharibi Zanzibara na kuataka wana CCM kushikamana huku akiwaambia
vijana kuwa wasiwewanyonge katika kukitetea chama chao.
Mamia ya watu
wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM kwenye viwanja vya Magereza ,Tomondo
wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi Zanzibar.
Katibu wa NEC Itikadi Na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi ambapo aliwaeleza hesabu na sayansi ya kisiasa imewamaliza wapinzani hivyo CCM itashinda uchaguzi ujao.
Baadhi ya Wanahabari wakiwa kazini .
katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na ujumbe wake wakielekea kukagua na
kupata maelezo juu ya ujenzi wa Chuo cha sayansi ya Bahari na kutoa
nasaha kwa chuo hicho.

Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikata utepe kuzindua rasmi gari la wagonjwa
lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Fuoni kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa
katika jimbo hilo.
Mamia ya watu
wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM kwenye viwanja vya Magereza ,Tomondo
wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi Zanzibar.
PICHA NA MICHUZI JR-WILAYA YA DIMANI-UNGUJA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...