Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiongea na Watanzania waishia Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 siku alipokutana nao kwenye Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akisalimiana na watanzania waishio nchini Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio Denmark.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...