Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwakilisha hati ya utambulisho kwa Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson siku ya Jumatano Februari 18, 2015
Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwa katika picha ya pamoja na Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson.

Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka na mke wake Bi. Esther Zoka wakiwa katika picha ya pamoja na Gavana mkuu wa Canada Mhe. David Johnson.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka na mke wake Bi. Esther Zoka na baadhi ya Watanzania waliohudhuria uwakilishi wa hati ya utambulisho wakiwa katika picha ya pamoja na Gavana mkuu wa Canada Mhe. David Johnson.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...