Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Rukia Mtingwa akifungua semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi kutoka vyombo mbalimbali vya habari iliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe akizungumza wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi iliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam
Meneja Mwenza wa Kampuni ya Auditax international, Straton Makundi akiwasilisha mada kuhusu uelewa wa taarifa za fedha za taasisi mbalimbali wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi iliyodhaminiwa na benki ya NBC jijini Dar es Salaam.
Mhariri Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mwananchi C ommunications Ltd, Bakari Machumu akitoa mada kuhusu uandishi sahihi wa habari za biashara na uchumi wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi iliyodhaminiwa na benki ya NBC jijini Dar es Salaam
Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Salutary Orio aliwasilisha mada kuhusu sheria za mabenki na biashara za kibenki wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi iliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam
Mmoja wa waendesha mikadala wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi, Arden Kitomari mmiliki wa blogu ya kitomari banking & finance blog, akiweka mambo sawa wakati wa semina hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...