Habari iliyotufikia hivi punde toka Visiwani Zanzibar,inaeleza kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni,Mhe. Salmin Awadh amefariki dunia mchana huu baada kuanguka ghafla akiwa kikaoni katika Afisi kuu ya CCM kisiwandui,mjini Unguja Zanzibar.
Pichani ni Mwili wa Mwakilishi huyo ukipakiwa kwenye gari ukitolewa kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja kwenda nyumbani kwake kwa matayarisho ya mazishi.
taarifa kamili tutapeana hapo baadae.
Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiun.maiti imeelekea ktk nyumba yao kubwa ya ukoo,mpendae.atakaa hapo mpaka kesho kwa ajili ya mazishi inshaallah.
ReplyDelete