Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Sema Dar es Salaam inazidi kuwa Mcharo!

    ReplyDelete
  2. Inapendeza kweli kweli kusema kweli katikati ya mji kumebadilika sana. Ujenzi unaendelea hata pembeni ya mji la muhimu sekata binafsi izidi kupanuka katika uzalishaji na kutoa huduma ili mapato na ajira ziongezeke kwa wakazi wa mji huu.

    ReplyDelete
  3. Mvua ikinyesha inakuwa tamu? Foleni? Maji? Umeme? Tuwe makini tusije tukapikia siku kuni kwenye ma flat Kuna miiji south amerika wanajuta waliiona tamu sasa chungu turekebishe miundo mbinu salama NA security.

    ReplyDelete
  4. Tusidanganyike na ujenzi ambayo hauna mpangilio maalum na hasa miundobiinu mibovu kutoka. Enzi za ukoloni sewage / bomba za maji safii / umeme nakadhalika. Kwanza sheria za. Ujenzi hazizingatiwi kabisa haalafu majanga ya moto / au nyumba kufunjika ndio viongozi wanaanza kutangaza sheria hizo watanzania tuamke na utenzawazi tulionawo

    ReplyDelete
  5. % 95 ya jiji la dar limejengwa holela ,to date hakuna mpango mji watu wanajijengea hovyo hovyo,tupeleke manzese,mburahati,mbagala hata huko mbezi hakuna utaratibu

    ReplyDelete
  6. The mdudu, hiyo nchi yetu pendwa bado sn mm binafsi naliamini jeshi langu la jwtz tu na hakuna zaidi ya hapo. ..maana nyanja zingine zote ni zero kabisa na ni aibu isiyosemekana,,usafiri wa anga ni janga la kitaifa na kimataifa ni nchi ya kwanza duniani kutokua na ndege zake yaani air Tanzania, bandari kubwa na ya kisasa tayari ishajengwa kwa mdomo na tayari inafanyakazi kule bagamoyo asanteni sn kwa ujinga huu wa mwendo wa kinyonga, Na hivi juzi tu kuna mtoto wa shule kaulizwa nani rais wa Tanzania? Mtoto wa kitanzania kwajinsi maisha yalivyo mchanganya amesema ni diamond platinumz...sasa hii ni hatari tunakokwenda siko kabisa...hodi hodi morogoro mjini nakuja kugombea ubunge kama mgombea huru nisie na chama na sitaki kulipwa chochote ili watu wengine wajifunze toka kwangu. .mjomba michuzi fikisha huu ujumbe ili watanzania wote wajue ni nani the mdudu.

    ReplyDelete
  7. HAHAHAHA MDUDU USIAMINI SANAAAAA HIZI NI ZAMA ZA TEKNOLOJIA IVI ZA KULE AMBONI HAZIKUKUFIKIA???

    ReplyDelete
  8. "Mdudu" unakwenda kugombea ubunge Morogoro kama mgombea binafsi kwa kutumia katiba ipi, wakati wewe ni UKAWA na unawashawishi wananchi wasiikubali katiba ya sasa inayopendekeza mgombea binafsi?
    Unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Wengi wanapenda kuongea ili wasikike katika vyombo vya habari bila kuchambua mambo yalivyo kiusahihi wake.

    Mdau Sweden

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...