Mandhari ya kiota kipya cha kisasa cha kilaji kiitwacho Break Point Carnivore jijini Dar es salaam  kilichofunguliwa rasmi jana Ijumaa na kuvutia wadau wengi wa mighawa ya Break Point za mjini na Kijitonyama ambapo mambo yote yanayopatikana huko kama vile "jirambe", "mchemsho", "foil meat" na kadhalika. Msemaji wa kiota hicho Kaka Daudi anasema Break Point imeamua kuondokana na staili ya "Msonge" na kuja na kiota chenye mandhari tofauti kabisa lakini huduma zile zile na zaidi kama vile Cappuccino, Ice Cream, Fresh Juice na mambo kama hayo... 
 Mandhari kwa ndani ambako kila pembe kuna big screen 
 Jiko la kisasa
 Msimamizi na mtaalamu wa makulaji Kaka Gadi kutoka Reading, Uingereza, yupo kuweka mambo sawa
 Kaka Gadi anasema "Nguvu ya Mamba, kumayi", yaani nguvu ya mamba ni majini. Na Break Point wanasema nguvu yao iko katika jiko maalumu la nyama choma inayoonekana pichani. Picha zaidi BOFYA HAPA
video bofya mshale hapo kati chini....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inapendeza sana na inavutia sana. Jitahidini kuweka ulinzi mkali na vifaa vya zima moto karibu. Maana ulimwengu wa sasa sio ule wa zamani. Vita kila kona na za kushtukiza. Hongera zana

    ReplyDelete
  2. Mbona hata hatuambiwi hiki kiota kipya kipo wapi ili tuweze kupanga kupatembelea basi???

    ReplyDelete
  3. Ulinzi muhimu maana kunawaliofweli maisha wanaanza kutuzingua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...