Wosia ni jambo kati ya
mambo ambayo huwasumbua watu wengi. Sababu ya kuwasumbua wengi ni
lile lile tu
kuwa ufahamu wa mambo ya sheria haujawa wa kutosha katika jamii.
Tatizo la wosia limepelekea
magomvi makubwa ya kifamlia hasa wakati wa misiba
au baada ya misiba.
Pia wakati mwingine ni tatizo hili hili ambalo limewafanya baadhi ya watu tena ndugu kugombea maiti.
Kama watu wanaelewa vyema habari ya wosia na haki
za kila mtu katika wosia sioni haja ya ndugu kugombea maiti au baadhi ya mambo ambayo marehemu pengine ameyatolea ufafanuzi kabla ya kifo
chake. Kuna wosia wa aina mbili,.
Kwanza wa maandishi na pili wa
maneno. Leo sisi tunaangalia wa maneno
lakini kwanza wosia ninini. BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...