Baadhi ya Wanasheria ,Mahakimu na watumishi wa Mahakama wakiwa katika maandamano hayo yaliyopita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Moshi  Mhe. Alishaeli Sumari akiongoza wageni wengine kuelekea katika viunga vya mahakama kuu kanda ya Moshi kwa ajili ya kukagua gwaride la heshima. 
Askari wakiwa timamu kwa ajili ya gwaride la heshima mbele ya jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Moshi ,Alishaeli Sumari.(hayuko pichani)
Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Moshi  Mhe. Alishaeli Sumari akipokea salamu za heshima toka kwa askari Polisi wakati wa gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya Maadhimisho ya siku ya sheria. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duh ! akina ras makunja na magitaa yao mabegani walikuapo si mchezo bongo tambarare

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...