OMWANA THERESIA NYAMICHWO RUTAGERUKA
LEO 6 – FEBRUARI 2015, UMETIMIZA MIAKA 21 TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI. PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.
TUNAADHIMISHA KUMBUKUMBU HII TUKIOMBA MWENYEZI MUNGU AWAKUTANISHE KWENYE RAHA YA MILELE NA MUME WAKO MPENDWA MWALIMU NOVATI RUTAGERUKA AMBAYE SIKU ZOTE ALIKUKUMBUKA KATIKA SALA ZAKE KABLA YA NAYE KUTWALIWA NA BWANA TAREHE 5 MEI 2010.
MNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WENU FROLIDA, ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOTE.
IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU INAADHIMISHWA LEO IJUMAA KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH, DAR-ES-SALAAM SAA 11.00 JIONI.
BWANA ALITOA, BWANA ALITWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE. AMINA
MAY THEIR SOUL REST IN PEACE.AMEN
ReplyDeleteRest in peace baba na mama.
ReplyDelete