Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi, akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, sheria namba 18 ya mwaka 2004 ya kuwaenzi waasisi wa Taifa.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi nyumbani kwake Mbweni, huku wajumbe wengine wakishuhudia.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mjumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Mama Fatma Karume nyumbani kwake Mbweni.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, nyumbani kwake Mbweni. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Duh, Kanali Nsa Kaisi ni makada wachache waliobaki walio na uzalendo wa juu, na muda si mrefu nilikuwa najiuliza yuko wapi wakati maandalizi ya katiba na uchaguzi wa kiongozi wa taifa yanakaribia. Binafsi naamaini yeye, yuko ligi moja kama akina Ahmed salim, Joseph Butiku, Dr Kitine, Kingunge ngombare..na hao wawaongoze watu wanaotaka kuongoza nchi yetu..
ReplyDelete