Karibu sana na asante kwa kujiunga nasi katika kipindi hiki cha HUYU NA YULE
Tumepata fursa ya kuongea na Mhe. Balozi Mustafa Nyang'anyi
Tumefanya mazungumzo naye ya sehemu nne, kueleza safari yake kimaisha
Tunaendelea na sehemu ya pili ya mazungumzo yetu, ambapo Mhe Balozi Nyang'anyi anaanza kuelezea namna
1: Alivyoingia kwenye siasa (ubunge mwaka 1970)
2: Alivyopata taarifa za kwanza za uteuzi wake serikalini. Hapa napo pana mvuto wake kusikiliza.
3: Nafasi alizoshika kama naibu waziri na waziri kamili
4: Nafasi ya ukuu wa mkoa
5: Na hata harakati zake na pia alivyopata nafasi ya kuja kusoma Chuo Kikuu Havard
KARIBU
Kama ulikosa sehemu ya kwanza ya mazungumzo yetu, bonyeza READ MORE

Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza Production
Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwa kweli ni historia nzuri sana inayotia moyo na kuhamasisha, pia kuzidi kukupa ari ya kutaka kuiskiliza mpaka itakapofikia tamati yake. Nazidi kuwapongeza waandaaji wa kipindi hiki ha 'Huyu Na Yule' kadhalika waongozaji na mtangazaji katika mahojiano haya na Mh. Balozi: Mustafa Salum Nyang'anyi. In Sha Allah, panapo uhai na uzima, tunaisubiri kwa hamu sehemu ya Tatu ya mahojiano haya, katika kipindi hiki cha 'Huyu Na Yule'.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...