Mdau mkubwa wa libeneke la Globu ya Jamii, Bw. Issa Kipande "Chef Issa" (wa pili kulia) akiwa na kikosi kazi ya Michuzi Media Group wakati alipotembelea ofisi hizo zilizopo kwenye Jengo la Palm Residency (jirani na hospitali ya Ocean Road) Jijini Dar es saalam leo. Chef Issa yupo nchini kwa mapunziko mafupi na siku si nyingi atarejea nyumbani kwake nchini Sweden.Wengine pichani toka kushoto ni Othman Michuzi,Ahmad Michuzi na Jonathan Msei a.k.a Gia Kubwa.
Hapa Chef Issa akiwa na Jonathan, Ahmad na Sam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...