Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa anasubiria kuitwa kupokea nondozzz yake ya "BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING" katika Chuo Kikuu cha The University Of Northampon Uingerezea akiwa na wahatimu wenziwe wikiendi hii
Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na mai hazbendi wake Mbegu Diego na familia yao baada ya kulamba nondozzzz yake
Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na mama yake mzazi baada ya kulamba nondozzzz yake
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...