Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali, akipata picha ya pamoja na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, baada ya mapokezi kwa ziara yake maalum, siku ya Jumatano Feb 25, 2015 ndani ya Washington Dulles International Airport.( Picha na swahilivilla.blogspot.com)
Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali. akiwa na Bw. Erastus Mwencha, pamoja na Shamis Alkhatry baada ya mapokezi.
Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali, akiwa na Bw. Erastus Mwencha, pamoja na Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry, siku ya Jumatano Feb 25, 2015 ndani ya Washington Dulles International Airport
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...