Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF,Aloyce Ntukamazina (aliesimama) akitoa hotuba ya ufunguzi na kumkaribisha mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mh. Magalula Saidi Magalula (katikati) kufungua semina maalum kwa maafisa rasilimali watu wa Mkoa wa Tanga,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Tanga Beach Resort,jijini humo.wa kwanza kushoto ni meneja wa GEPF mkoa wa Tanga,Silvanus Aloyce.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mh. Magalula Saidi Magalula akifungua rasmi semina hiyo maalum kwa maafisa rasilimali watu wa mkoa wa Tanga pamoja na wilaya zake.
baadhi ya maafisa rasilimali watu wakifuatilia kwa makini mada zilizotolewa na Mfuko wa GEPF.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mh. Magalula Saidi Magalula akiwa katika picha ya pamoja na maafisa kutoka GEPF pamoja na maafisa rasilimali watu waliohudhuria semina hiyo maalum.
Mmoja kati wa maafisa rasilimali watu akifurahia jambo na afisa wa GEPF mkoa wa Tanga,Baraka Mtoi wakati akijiunga na mpango wa hiari wa kujiwekea akiba (VSRS).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...