Jumuiya ya Watanzania Reading tunaendelea kwa majonzi makubwa kuomboleza na kuhani msiba wa mwanafamilia mwenzetu Mama Anna Goodchild (pichani), na kuifariji familia nyumbani kwake ktk anuani hii:-


       56b St Peter's Road
       Reading (Wokingham Rd area)
       RG6  1PH
Marehemu Anna Goodchild ataagwa kwa Heshima ya Mwisho-

Siku:      Ijumaa ya 06/02/2015.
Muda:   Saa Nane Mchana
Anuani: Kanisa la "Our Lady of
             Peace"
             Wokingham Rd, RG6 7DA  Mazishi:Makaburi ya Early, Reading

Bwana Aliyetoa ndiye  Ametwaa.
AMINA
Jumuiya ya Watanzania Reading.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...