Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akikutana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alipofika katika Ofisi za Free Media, wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, akiwa katika ziara katika vyombo vya habari ambayo aliianza jana, jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akiagana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alipofika katika Ofisi za Free Media, wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, akiwa katika ziara katika vyombo vya habari ambayo aliianza jana, jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana kwa furaha na Mhariri Mtendaji wa Free Media, Nevile Meena alipowasili kwenye kampuni hiyo akiwa katika ziara kwenye vyombo vya habari mjini Dar es Salaam
Nape akizungumza na baadhi ya viongozi wa kampuni ya Free Media wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...