Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kulia) akizungumza na
uongozi wa Kampuni ya Bussines Times, Wachapichaji wa Magazeti ya
Majira, Bussines Times na Sports Starehe, akiwa katika mwendelezo wa
ziara ya vyombo vya habari aliyoaianza wiki iliyopita mjini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mtahiriri wa Majira Eckland Mwaffisi na Mhariri
Mtendaji wa Kampuni hiyo, Imma Mbuguni.
Nape
akimsalimia Meneja Uhusiano wa Bussines Times Ltd, Julieth Lamosai,
baada ya kutambulishwa kwake na Mbunguni wakati wa ziara hiyo
Nape akienda na Mbunguni kwenye ukumbi kwa ajili ya mazungumzo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...