
Meneja
wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro
(kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua
mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar
es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu
kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze
kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa
bima ya afya (katikati), Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw.
Rehani Athumani (kulia) ni Kaimu Meneja wa CHF, Bw. Salvatory Okumu.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON,

Mkurugenzi
wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani akifungua mafunzo
ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam
lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana mpango wa kujiunga na
NHIF kupitia vikundi (KIKOA) ili wapate uhakika wa matibabu kupitia
mfuko wa bima ya afya (kulia) baadhi ya viongozi kutoka NHIF.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...