IMG_0279Baba padre Honest Munishi akiwekwa wakfu kuongoza kanisa la Katoliki la St.Edward Baltimore Md nchini Marekani katika misa iliyoongozwa na Askofu Dennis Madden wa jimbo la kuu la Baltimore, Jumapili Februari 8,2014. Padre Munishi amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Padre Evod Shao aliyemaliza muda wake IMG_0276Padre Munishi katika ibada. IMG_0284Padre Munishi akitia saini mbele ya askofu baada ya kusimikwa kuwa paroko mpya wa kanisa la Baltimore Md. IMG_0288Baba askofu wa jimbo kuu la Baltimore akimtambulisha padre Munishi kwa waumini wake. IMG_0301Balozi Liberata Mula mula aliongoza watanzania kwenye ibada hiyo kulia kwake ni mwambata wa jeshi katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Kanali Adolph Mutta. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...