Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuchapa kazi ndani ya ndege yake akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea mjini Dodoma ambapo aliongoza kikao cha baraza la Mawaziri.(Picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Bado tuna changamoto kubwa ys kimaadili na uwajibikaji

    ReplyDelete
  2. "....Ndani ya ndede yake..", hapana siyo ndege yake, hii ni ndege yetu sisi watanzania,wakulima, wafanyakazi na hata mishentown, as long as wanalipa kodi.

    ReplyDelete
  3. kwa sasa ni ndege yake mpaka hapo atakapomaliza muda wake. sisi wengine yetu kinadharia

    ReplyDelete
  4. Don't be too sensitive guys, whether you like Mr kikwete or not, hii inaitwa "ndege ya raisi". Kwa kusema ndege yake, michuzi hakukosea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...