Meneja wa bia ya Safari Lager, Edidh Bebwa(kulia) akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa masindano ya Safari Nyama
Choma kwa mwaka 2015 uliofanyika Dar es Salaam leo.Kushoto ni Jaji
Mkuu wa mashindano hayo, Manase Mwasha.
Jaji Mkuu wa mashindano Safari Nyama Choma, Manase
Mwasha(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa
uzinduzi wa masindano ya Safari Nyama Choma kwa mwaka 2015
uliofanyika Dar es Salaam leo.Kulia ni Meneja wa bia ya Safari Lager,
Edidh Bebwa.
Meneja wa bia ya Safari Lager, Edidh Bebwa(kulia) akimkabidhi
kikombe Jaji wa mashindano ya Safari Nyama Choma 2015 wakati wa
uzinduzi uliofanyika Dar es Salaam leo.
BOFYA HAPA KWA BARI KAMILI
BOFYA HAPA KWA BARI KAMILI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...