Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya Laptop mume wake mtarajiwa ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho, George Zuri wakati wa sherehe ya kuagwa jana kwenye Ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Bibi Harusi mtarajiwa, Zourha akilia baada ya kuagwa na babake, Malisa kushoto
Zourha akiwapatia keki wazazi wake wakati wa sherehe hiyo
Wafanyakazi wenzie na baba wa Zourha, Mzee Malisa kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwa na furaha wakati wa sherehe hiyo
Zourha na mpambe wake Mary Thomas wakicheza muziki.
mwenye gauni ya blue...
ReplyDeleteWamependeza.
ReplyDelete