Familia ya Prof Victor Mlekwa wa Savery Mlalakuwa, Dar Es
Salaam
Inasikitika kutangaza kifo cha mama yao Febronia Mshomba
Mlekwa kilichotokea tarehe 16/02/2015 Katika Hospitali ya Kairuki, Dar Es
Salaam.
Mazishi yatafanyika tarehe19/02/2015 Alhamisi, Goba Dar Es
Salaam.
Wale wote watakao kuungana penda na wafiwa, wanakaribishwa
nyumbani kwa Mrehemu Savery mapema. Wote tunawatakia pole ya
msiba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...