Familia ya Marehemu Lawrence Maxi Kweka wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao  Bibi Caroline Kweka kilichotokea tarehe 1 Feb 2015 Dar es Salaam. Mazishi yatafanyika Alhamisi, tarehe 5 Feb 2015 Maili Sita Moshi. 

Misa ya kumuaga marehemu itafanyika Jumatano, tarehe  4 Feb 2015, kuanzia saa tano asubuhi nyumbani kwa watoto wa marehemu Bw Theophilus na Mhe. Rita Mlaki (MB) wa Mikocheni, Dar es Salaam.

 Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe milele.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Poleni sana, Bibi pumzika kwa amani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...