Home
Unlabelled
Tanzania Yajitayarisha Kuingia Kwenye Uchumi Wa Gesi Asilia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kuwa na wasomi wenye shahada husika na sekta fulani haiendani na kuifahidi rasilimali husika. Hivyo ili nchi inufaike kwa kizazi hiki na kizazi kijacho, ni kutafuta jinsi ya kuwahusisha watanzania katika umilikaji wa hizi biashara zinazohusika na gesi na mafuta, ili faida ipatikanayo ibaki mifukoni mwa hawa watu waTZ, hata hizo rasilimali zikiisha.
ReplyDeleteSawa, wenye madigrii na mashahada wataajiriwa na hayo makampuni ya kigeni na kupata mishahara mikubwa, tatizo kama na wenyewe hawajiandaa kujibakizia hicho kipato, rasilimali ikiisha, mishahara mikubwa itaisha, tunarudi palepale tulipokuwa!
Kwa kiingereza wanasema kuwa, it is not what you make/earn that matter, it is what you keep (or save). Kwamba haijalishi unapata mshahara mkubwa kiasi gani, bali cha maana ni kiasi unachojiwekea akiba.
Isitoshe lazima tujua ukweli kuwa huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa (labda uibe), bali kwa kumiliki ajira (yaani kuwa mwajiri na kumiliki biashara). Huo ndio mtihani tulionao wananchi wenzangu!!