Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na
Watoto,Bi Sophia Simba (katikati) akisaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza ya kukomesha ndoa za
utotoni na ukeketaji wa watoto wa kike. kutoka kushoto ni Kamishna Mkuu wa
Uingereza nchini,Bi.Dianna Melrose kulia ni Mwakilishi wa UNFPA,Dr.Natalia
Kanem, leo katika ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto.
Picha ya pamoja baada ya kusaini
makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza kukomesha ndoa za utotoni na ukeketaji wa watoto wa kike.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Bi.Sophia Simba (pichani) akizungumza katika hafla ya kusaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza ya kukomesha ndoa za utotoni na ukeketaji wa watoto wa kike,leo katika ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto jijini Dar.
PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.
Eeh! Kumbe na hili nalo linahitaji makubaliano na nchi nyingine!! Why don't we just police ourselves??
ReplyDelete