Balozi wa kinjwaji cha Baileys katika Usiku wa Warembo ndani ya Kiota cha Samaki Samaki,Vanessa (mwenye nguo nyeusi) akiwa katika picha ya pamoja na warembo katika kiota cha Samaki Samaki mtaa wa Samora Jijini Dar es Salaam,ikiwa ni muendelezo wa kuwaleta pamoja warembo wote hapa mjini.
Wateja waliofika katika kiota cha Samaki samaki katika siku ya warembo wakiwa wanawaangalia warembo hawapo pichani.
Balozi wa Baileys,Rahma Zumba (wa tatu kulia) akiwahudumia wateja waliofika katika kiota cha Samaki Samaki Mtaa wa Samora Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...