Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nilidhani kwa mujibu wa sheria mpya a kazi ELRA (2004) ni makosa kufanya ubaguzi "discrimination" katika masuala ya ajira kwa vigezo mbali mbali ikiwemo umri. Sasa sijui Muhimbili wao wanafuata sheria ipi? Wameamua kuweka wazi kabisa Umri si zaidi ya miaka 35, hii ni kinyume cha sheria.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...