Home
Unlabelled
VIDEO YA CHIPUKIZI WA UVCCM WALIVYOTIA FORA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM MKOANI RUVUMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This makes me hate my team yanga
ReplyDeleteNawapongeza sana na hongereni sana wanachipukizi wote mlioshiriki katika gwaride hilo la kusherehekea miaka 38 tangu kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (05/02/1977 Uwanja wa Amani Zanzibar). Sio siri nimependa hao watoto wadogo javusa walivyokuwa dedicated kukaza miguu na kuonyesha ukakamavu katika kupiga kwata, reminded me decades back wakati huo tukila kiapo viongozi wetu by the time tukiwataja...Nyerere na Aboud Jumbe...mara kwa mara Mungu nisaidie. Kweli siku hazigandi. Hongera Chama Cha Mapinduzi na Mungu kipe baraka.
ReplyDeleteDAIMA MBELE.
ReplyDelete