Mgeni Rasmi katika Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Waziri wa Uchukuzi,Mh. Samuel Sitta akiwasilisha mada katika semina hiyo iliyofanyika leo mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya akitoa ufafanuzi juu ya maswali ya wabunge.
Kamishna wa Sensa Tanzania, Hajjat Amina Mrisho akiwasilisha mada.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...