Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi
funguo za trekta kwa Mwalimu wa Shule ya msingi Kwadelo Bw. Hamza Haji,matrekta saba yalikabidhiwa leo kwa wakulima chini ya usimamizi wa
Diwani wa Kwadelo Alhaji Omari Kariati.(Picha na Adam Mzee)
funguo za trekta kwa Mwalimu wa Shule ya msingi Kwadelo Bw. Hamza Haji,matrekta saba yalikabidhiwa leo kwa wakulima chini ya usimamizi wa
Diwani wa Kwadelo Alhaji Omari Kariati.(Picha na Adam Mzee)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi funguo
za trekta kwa Dk. Edmund Mndolwa ambaye ni Mjumbe wa halmashauri kuu ya
CCM Taifa ikiwa sehemu ya matrekta saba yaliotolewa na Alhaji Omari Kariati Diwani wa Kwadelo.
Moja ya matrekta waliokabidhiwa wakulima ,Alhaji Omari Kariati ameshatoa matrekta 100 mpaka leo tarehe 5 februari 2015.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari
baada ya kukabidhi matrekta saba kwa wakulima yaliyotolewa na Diwani wa
Kwadelo Alhaji Omari Kariati ambapo aliwataka viongozi kushiriki
shughuli za wananchi (Picha na Adam Mzee).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...