Wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii wakipata maelezo
kutoka kwa Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL),Castor
Massawe (mbele katikati) jinsimalighafi za nafaka zinavyohifadhiwa
katika ghala, walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam juzi.
Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Castor Massawe (katikati) akitoa maelezo kuhusu upishi wa bia kwa njia ya kompyuta wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam juzi.
Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Castor Massawe (katikati) akitoa maelezo kuhusu uchachuaji wa bia kwa njia ya kisasa wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...