Katika kuadhimisha International Day Saudi Arabia, wanafunzi wa Edugates International School iliyoko Jeddah pamoja na Mwalimu wa KiTanzania  walisherehekea siku hiyo jana ambapo Wanafuzi wa KG2 na Mwalimu wao Bi Sabrina Ali   walivaa Ki-Tanzania na kuimba nyimbo na kucheza ngoma za utamaduniwa Tanzania
Wanafuzi wa KG2 wa Edugates International School iliyoko Jeddah  na Mwalimu wao Bi Sabrina Ali wakiimba nyimbo za Tanzania huku wakipeperusha bendera
Wanafuzi wa KG2 na Mwalimu wao Bi Sabrina Ali
Wanafuzi wa KG2 wakifurahia International Day Jeddah

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...