Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.
George D. Yambesi (katika kiti kikubwa) akiongea na wataalam wa
kujitolea kutoka nchini Japani waliomtembelea ofisini kwake kujitambulisha.
Wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani wakipiga makofi kumshukuru
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.
George D. Yambesi mara baada ya kuwakaribisha nchini kufanya kazi
sekta mbalimbali.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.
George D. Yambesi (wa nne toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja
na wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliokuja kwa ajili ya kutoa
huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...