Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili
na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa
jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao.
Waziri Kivuli wa Maliasili na
Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara
ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini
Marekani.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili
na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum chenye kueleze
historia ya jjji la Seattle kutoka kwa Naibu Meya wa jiji la Seattle
nchini Marekani Bi. Kim.
Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika
mazungumzo na viongozi wa jiji la Seattle nchini Marekani katika mazungumzo
ya namna ya kuongeza watalii nchini kutoka katika jiji hilo.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili
na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akiongea na Naibu Meya wa jiji la
Seattle nchini Marekani Bi. Kim alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo ya
namna ya kuongeza watalii nchini kutoka katika jiji hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...