Pamoja kupigiwa kelele matukio ya kutupa taka ovyo mitaani,lakini mdau huyu kama vile hana hata moja juu ya swala hilo na kuendelea na kazi yake hiyo kama alivyokutwa leo maeneo ya Manzese,jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ukifanya hivyo Rwanda unakamagtwa na Raia.watanzania ni wachafu by nature labda mjerumani arudi.

    ReplyDelete
  2. Usijumulishe, sema baadhi ya watanzania. Wako Watanzania wasafi sana na wanatunza vizuri mazingira. lakini wako wengine ndo hivyo. Sema hata sisi wenyewe raia hatushtuki tukiona mtu anatupa taka hadharani

    ReplyDelete
  3. mimi nazani kuna haja ya kuangalia watu wanatokea wapi maana kuna watu wamezaliwa na damu ya uchafu hata uwapeleke Londoni watamwaga takataka njiani tu, ogopa sana watu wa manzese na uswahilini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...