Meneja wa Benki ya NBC Martin Nkanda (katikati), akikabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa ajili ya waathirika wa mvua ya mawe kwa wakurugenzi wa halmashauri tatu za Wilaya ya Kahama katika hafla iliyofanyika Kahama, Shinyanga juzi. Zaidi ya watu 40 walisemekana kupoteza maisha huku wengine 82 wakiachwa na majeraha makubwa baada ya mvua kubwa iliyoambata na upepo mkali kwa muda wa takriban masaa matatu kuvipiga vijiji vitatu vya Wilaya ya Kahama Machi 3 mwaka huu na kuharibu nyumba, mashamba na mifugo.
Meneja wa Benki ya NBC Martin Nkanda (wa nne kulia) pamoja na baadhi ya wafanyazi wenzake wakikabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa baadhi ya waathirika wa mvua ya mawe katika hafla iliyofanyika Kahama, Shinyanga juzi. Zaidi ya watu 40 walisemekana kupoteza maisha huku wengine 82 wakiachwa na majeraha makubwa baada ya mvua kubwa iliyoambata na upepo mkali kwa muda wa takriban masaa matatu kuvipiga vijiji vitatu vya Wilaya ya Kahama Machi 3 mwaka huu na kuharibu nyumba, mashamba na mifugo.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya (kulia) akimkaribisha Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kahama Martin Nkanda kwenye kambi ya waathirika wa mvua ya mawe iliyopo katika Shule ya Msingi Mwakata siku Benki hiyo ilipotoa misaada.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kahama, Martin Nkanda (wa tatu kushoto)akizungumza na baadhi ya waathirika wa mvua ya mawe( hawapo pichani) siku ya benki hiyo ilipotoa misaada. Kulia kwake ni wakurugenzi wawili wa Halmashari za Ushetu na Msalala; Patrick Kalangwa, na Isabela Chilumba huku kushoto kwakeni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Felix Kimario.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...