Bondia wa zamani wa uzito juu Duniani,Francois Botha (kulia) akiwa na Mtangazaji machachari wa Michezo hapa nchini kupitia Kituo cha Redio EFM,Maulid Baraka Kitenge mara baada ya kufanya nae Mahojino katika kipindi cha Sports Headquartes mapema leo asubuhi.Botha yupo jijini Dar tayari kushuhudia pambano la Kimataifa la Masumbwi la Mtanzania Mohamed Matumla na Mchina Wang Xin Hua ambao litakalopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Ijumaa Machi 27,2015.
Home
Unlabelled
Bondia wa zamani Francois Botha azungumzia mpambano kati ya Mohamed Matumla na Mchina Wang Xin Hua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...