Philippe Coutinho (kushoto)  baada ya kupiga  bao kali wakati  Liverpool walipotia pancha matairi ya gari la kutetea ubingwa la Manchester City katika mtanange wa   Premier League uwanja wa  Anfield jana.

Bwawa la maini walifungua dimba kwa bao la Jordan Henderson  (picha ya chini) kabla ya Edin Dzeko kusawazisha kwa City. Lakini kiungo Mbrazil   Coutinho alimaliza ubishi kwa bao la mita 25 lililowaacha kina Yaya Toure Midomo wazi.Matokeao hayo yanawaacha City wakiwa nyumba ya   Chelsea kwa pointo tano, huku Liverpool tukipanda hadi nafasi ya tano. Bwawa la Maini Oye!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...