Diwani wa kata ya Miembeni katika manispaa ya Moshi,Mbonea Mshana akikabidhi vifaa vya michezo zikiwemo jezi pamoja na Mipira kwa kiongozi wa timu ya soka ya Motherland iliyoko katika kata hiyo
Diwani Mbonea akiwaonesha wachezaji (hawako pichani) jezi alizokabidhi kwa vijana hao wanaounda timu ya Motherland yenye maskani yake kata ya Miembeni. 
Diwani Mbonea akizungumza naviaja hao mara baada ya kukabidhi msaada wa jezi kwa timu ya Motherland,
Kiongozi wa timu ya soka ya Motherland Simon Fyuma akitoa neno la Shkrani mara baada ya kukabidhiwa msaada wa jezi na mpira toka kwa Diwani wa kata ya Miembeni mjini Moshi,
Baadhi ya vijana wanaounda timu ya Motherland ya kata ya Miembeni.
Na Dixon Busagaga wa Globu 
ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...