Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (kulia) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Xie Yunliang.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Kaka Michu Uholanzi imeniwacha katika giza totoroooooo.
ReplyDelete