Mbunge Filikunjombe akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake kwenye mazishi ya SR. Instrude maria
Katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe Bw Honolatus Mgaya kushoto na mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe kulia wakishirikiana na wananchi wa Njombe kubeba jeneza na SR. Maria.
Mbunge Filikunjombe katika usikivu mkubwa
Na Matukiodaima BLoG
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge ili kuwatumikia wananchi kwa kutanguliza hofu ya Mungu ya kwatumikia wananchi waliowachagua Kauli hiyo aliitoa Jana wakati wa mazishi ya aliyekuwa mtawa wa kanisa la Romanikatoliki Parokia ya Imiliwaa Marehemu SR. Insetrud Maria Alisema kuwa viongozi wa dini wamekuwa wakifanya kazi ya kuliombea Taifa na watu wake ila wanasiasa na viongozi wa serikali wamekuwa wakiwatumikia wananchi kimwili hivyo kuna haja ya viongozi wa dini kuendelea kufanya kazi ya kuwaombea viongozi . BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...