Home
Unlabelled
HIKI NDICHO ALICHOKISEMA MH. ZITTO KABWE WAKATI AKITANGAZA KUJIUNGA NA CHAMA CHA ACT-TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
loh za kusikia changanya na zako.
ReplyDeleteWanasiasa wengi hujiita wapinzani na kuvikandia vyama tawala ili wavutie tu uungwaji mkono, lakini unapochimba zaidi mara unagundua kuwa na wao tabia na siofa zao ni zile zile.
ReplyDeleteNashangaa bwana Kabwe imemchukua muda mrefu kuwa nje ya Chadema.
Nimesikitika zaidi amesubiri kufukuzwa uanachama ndipo akahamia kwengine.
Mimi mbona siku nyingi tu niliiona midudu ya viongozi wakuu wa chama hicho?
Angalia kashfa ya wabunge wa kuteuliwa kutoka Chadema.
Angalia matumizi mabaya ya fedha za umma, helikopta kila mahali!
Ukabila, udini, nk.
Siasa kweli ni uwanja mchafu!
Mndengereko, Ukerewe