Mkurugenzi wa Kampuni ya Angels Moment, Naima Malima akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kampeni ya Mwanamke na Uchumi uliofanyika Mkuranga mkoani Pwani. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Abdallah Kihato na Mkurugenzi wa Mwang'amba Communication, James Mwang'amba. (Picha na John Dande)
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Abdallah Kihato akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kampeni ya Mwanamke na Uchumi lililofanyika Mkuranga mkoani Pwani.
Mkurugenzi wa Mwang'amba Communication, James Mwang'amba akitoa mada kwa wanawake wajasiriamali.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Wanawake wajikwamue wachangie kusukuma maendeleo yao na familia zao mbele.
ReplyDelete