Wafanyakazi wa kampuni ya Mafuta ya Panone wakiwa katika picha ya Pamoja na watoto wanao lelewa katika kituo cha Gabriela cha mjini Moshi.
Afisa uhusiano wa timu ya soka ya Panone fc Kassmi Mwinyi akitoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Panone Frank Mwaikatale akigawa zawadi ya mikate kwa watoto wanaolelewa katika  kituo cha Gabriela cha mjini Moshi.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bado napata shida na huu utaratibu wa kujionyesha tunapowasaidia wenye shida. Kwa uelewa wangu wa kawaida hii ni amri ya Mwenyezi Mungu kwa waumini wote kuwasaidia wenye shida na bila kujitangaza. Zaidi ninachokiona kimejengeka kama utamaduni wetu wengi ni kutaka kujulika na kuwaanika hadharani wale tunaowasaidia jambo ambalo si lakiungwana hata kidogo. Tuige mfano wa wenzetu nchi zingine wanapoenda kutkutoa misaada kwa yatima, wazee,wahitaji wowote hufanya hivyo bila kupiga nao picah wakigawa mikate! Isitoshe ni jambo bora kuzingatia mahitaji muhimu ya watu hawa kuliko kuwajaza tu vyakula vingine hata si vya afya! Ukitaka kubadili maisha ya mtu mjengee uwezo wa kujibadili mwenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...