Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Helena Shumbusho
mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea mkoani humo
tayari kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo
la Mbiga Magharibi Marehemu Kapteni John Damiano Komba aliyefariki hivi
karibuni katika hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam, mwili wa Kapteni
John Komba unazikwa leo huko kijijini kwao Lituhi mkoani Ruvuma.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama na serikali mkoani Ruvuma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea.

Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu Mwigulu Nchemba na Katibu wa Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye wakisalimiana na wananchi wa Songea baada ya
kuwasili mkoani humo tayari kwa mazishi ya Marehemu Kapteni Komba.

Msanii wa TOT Khadija Omary Kopa akiwasili uwanjani hapo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...