Hata hivyo Kinana amesema wananchi wa Karatu ni Watanzania na wana haki ya kupata huduma mbalimbali  za maendeleo na serikali ya CCM haitawaacha kama wanavyoachwa na viongozi wao wa CHADEMA waliowachagua wenyewe.

 

Baadhi ya wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia jambo uwanjani hapo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wananchi wa Karatu waliojitokeza kwa wingi katika mkutano huo wa hadhara
Baadhi ya wananchi wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakizungumzwa na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana kwenye mkutano huo wa hadhara.
Wananchi wa kijiji cha Baray-Mbuga Nyekundu wakimshangilia Katibu wa NEC Itikadi na uenezi,Nape Nnauye alipozungumza kabla ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana kushiriki ujenzi wa jengo la kituo cha upasuaji afya .
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa kata ya Baray.

PICHA NA MICHUZI JR-KARATU.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. wapinzani hawana chao mwaka huu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...