Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF.Bw. Aloyce
Ntukamazina akiwasilisha mada juu ya mabadiliko ya mfumo wa
uendeshaji katika Mfuko wa GEPF,wakati wa semina kwa Maafisa Rasilimali Watu kutoka Wilaya ya Ilala iliyofanyika kwenye hoteli ya Peacock,jijini Dar es salaam.
Meneja wa GEPF mkoa wa Ilala,Bw Jafari Meraji akisisitiza jambo
juu ya faida zipatikanazo katika mpango wa hiari wa kujiwekea
akiba (VSRS)
Mmoja wa washiriki wa semina hiyo Bw Sebastian Enosh ambaye
ni Meneja Rasilimali watu kutoka DIT akitoa mchango wake
pamoja na ushauri kwa Mfuko wa GEPF.
Pichani baadhi ya washiriki wa semina hiyo maalum wakifuatilia
kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa na maafisa wa GEPF.
Maafisa Rasilimali watu wakipata maelekezo ya kujaza fomu na
kujiunga na mpango wa hiari wa kujiwekea akiba kutoka kwa
Afisa Masoko wa GEPF Bw Avit Nyambele.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...